GERNICOM LTD

GERNICOM LTD

Contact: +255 652783036
Email: gernicom@yahoo.com

  • TUNAPOPATIKANA:

Tunapakana na Barabara ya Bagamoyo, kituo cha ITV karibu na GNLD.

  • HUDUMA ZINAZOPATIKANA

Tunatoa huduma ya PRINTING, OFFSETS, LARGE SIZE PRINTING, FASTEST TYPING, PHOTOCOPY, INTERNET SERVICES. 

PIA TUNA-EDIT RESEARCH NA MAREKEBISHO YOTE PAMOJA NA KUPANGA VIZURI

(TUNA WATAALAM WA KU-TYPE FAST MPAKA  50 PAGES KWA SIKU MOJA TU.)

  • HUDUMA NYINGINE

Tuna Supply Stationery kwa bei nzuri na kwa malipo ya Papo kwa hapo, Malipo ya Kati kati ya Mwezi, na Kwa Malipo ya Mwisho wa Mwezi.

  • HUDUMA NYINGINE

Pia tunao wataalamu wanaoshughulikia maswala ya IT kwa Computer. Tunatengeneza Computer aina zote yaani Computer za mezani (Desktop) na Computer mpakato (Laptop). Tunatoa huduma zote Software and Hardware. Pia tunafanya LAN (Local Area Network) Maofisini na Kwenye Makampuni.

NB: Tunatoa huduma Dar es Salaam na Nje ya Dar es Salaam (Mikoani).



KARIBUNI  


HUDUMA BORA NA ZA UHAKIKA WAKATI WOWOTE

Maoni